SIMBA AANGUKIA PUA KAGERA, KIIZA ANG’ARA

Mabingwa watetezi wa Simba kwa mara ya pili wameendelea kugawa pointi katika mechi ya za Ligi Kuu ya NBC baada ya kuchapwa bao 1-0 na wenyeji Kagera Sugar mchezo uliopigwa uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Shujaa wa Kagera Sugar ni Mshambuliaji wa zamani wa Yanga na Simba Hamisi Kiiza mnamo dakika ya 71 aliwanyanyua mashabiki